<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>14</hymn_number>
<title>Yesu Kwa Imani TZR14</title>
<lyrics>[V1]
 Yesu kwa imani,
 Nakutumaini,
 Peke yako;
 Nisikie sasa,
 Na kunitakasa,
 Ni wako kabisa
 Tangu leo.

[V2]
 Nipe nguvu pia
 Za kusaidia
 Moyo wangu;
 Ulikufa wewe,
 Wokovu nipewe
 Nakupenda wewe,
 Bwana wangu.

[V3]
 Hapa nazunguka
 Katika mashaka,
 Na matata;
 Palipo na giza
 Utaniongoza
 Hivi nitaweza
 Kufuata.

[V4]
 Takuwa mzima
 Nivushe salama
 Mautini;
 Sina hofu kamwe
 Ukiwapo name
 Nami nikwandame
 Siku zote.</lyrics>
</song>